Kufikia wanafunzi kupitia watu na nafasi zinazowazunguka

Mwelimishaji Mwelimishaji

Tunashirikiana na walimu, wawezeshaji na waelimishaji wengine katika kukuza ujumuishaji wa masomo kupitia mchezo darasani. Hii ni kufuatia mbinu ya usaidizi wa kiufundi iliyoundwa ili kujumuisha masomo kupitia mchezo pamoja na mtaala na mifumo ya masomo iliyopo

Watunzaji Watunzaji

Tunashirikiana na wazazi na watunzaji wengine ili kugeuza miingiliano ya kila siku na watoto kuwa nafasi za masomo

Wadau wa Mfumo Wadau wa Mfumo

Tunashirikiana na wadau mbalimbali katika kutoa huduma za elimu ili kujumuisha masomo kupitia mbinu za kufunza kupitia michezo katika huduma za elimu

Upcoming Events

Check out the events scheduled on our calendar

event
World Teachers' Day
International -
Pata maelezo zaidi kuhusu mfadhili wetu, the LEGO Foundation
Lego Foundation
Jiunge na jamii yetu